Malimwengu!!
Mwanaume akipita mbele ya kiti chenye urefu wa mita 6.8 sawa na futi 22 na upana wa mita 7.7 sawa na futi 25 kilichoko katika shopping mall nchini China katika mji wa Shanghai. kiti hicho kimetajwa rasmi kua ndicho kikubwa zaidi duniani.
No comments:
Post a Comment