siku ya
kuzaliwa kwa kila mwanadamu ni siku muhimu sana katika maisha, kwani ndiyo siku
uliyoingia duniani kwa mara ya kwanza!
niangalie
upande wa watoto, wapo ambao hufanyiwa birhtdays kwa namna tofauti tofauti!
sura huchorwa, hupelekwa mahali kula apendacho! ama hupewa nafasi ya kuchagua
zawadi aipendayo kwa familia zenye uwezo!
lakini moja
ya zawadi apewayo mtoto mbali na zingine zote,
ni keki zenye maumbo mbalimbali, sasa! kwa wale wenye ufahamu mdogo
hupewa keki ambazo wakati mwingine huwa zinawatisha! tazama hii!
Swali ninalojiuliza
je mtoto huyu analia juu ya ujumbe alionyanyua paka huyo almaarufu kama nyau? Au
nyau mwenyewe, kwamba anamuogopa? Ni vyema kuangalia zawadi tuwapazo watoto
katika siku muhimu maishani mwao!
No comments:
Post a Comment