Bettina Wulff
Mke wa rais wa zamani wa Ujerumani ameazimia kuishtaki kampuni ya GOOGLE mahakamani kufuatia kampuni hiyo kueneza uvumi wa maisha yake binafsi katika mtandao..
Picha kama hii ilikua kwa matumizi yake, ninyi mitandao vipi?
Mke wa rais huyo aitwae WULF BETTINA amesema ukilitafuta jina lake katika GOOGLE linatoa majibu kwamba jina hilo ni la mtu ambaye ni kahaba aliyekubuhu katika mitaa mbalimbali nchini humo.
Bi WULFF amekanusha kwamba yeye hakuwahi kufanya kazi hiyo ya ukahaba na ameahidi kutoa tamko katika gazeti moja la kijerumani kwa ajili ya kukanusha madai yote yanayohusina na yeye kufanya kazi ya ukahaba kabla ya kuolewa.
Lakini mpaka sasa tayari uvumi huo umeenea katika baadhi ya mitandao yote ya kijamii pamoja na kwenye vyombo vya habari huku wadadisi wa masuala ya kisiasa nchini humo wanadai hatua hiyo inaweza kumchafua mumewe katika kazi zake za kisiasa.
Google hawakuishia hapo ! wakaichezea picha yake kutoka uasilia hadi kua na matiti makubwa wakati kiasili bibi Bettina hana matiti ya namna hiyo! lakini mkono umeuona? tatoo ya sura ya husband! sio hiyo tu anazo kibao mke wa zamani wa Rais, ni mahaba tu!
Lakini yeye ni mrembo na mwenye umbo la kimodle! Hebu tazama.
NOTENikutajie kazi njema niko safarini mkoani Dodoma! tutawasiliana hapa hapa kwa ntakachopata huko! good day
No comments:
Post a Comment