Anaitwa Emmy Kosgei kutoka kule Kenya, yeye ndiye mshindi kwenye kipengele cha wimbo bora wa mwaka kwenye tuzo za "Africa Gospel Music Awards 2012" zilizofanyika huko Uingereza.. Tuna mengi ya kujifunza ili tuweze kuwa "VICHWA" na sio mikia, kama una amini sema AMEN! BARIKIWA..
No comments:
Post a Comment