Jana ndo mwana Africa Meles Zenawi alipopumzishwa katika nyumba yake ya milele, huu ni mfululizo katika picha.
Mwili wa Meles Zenawi ukipelekwa kwenye sehemu maalum ya kumuagaSifa na salamu zilitolewa juu ya waziri mkuu Meles Zenawi wa Ethiopia aliyeongoza kwa miaka mingi, ambaye amezikwa katika mji mkuu, Addis Ababa.
Jeneza la Meles Zenawi
mwili wa Meles Zenawi ukiwa katika sehemu maalum
Itifaki ya kijeshi ilizingatiwa kwa heshima yake
Kitamaduni zaidi!
Viongozi wa Afrika na kwengineko walionesha heshima zao pamoja na Rais Paul Kagame wa Rwanda, ambaye alisema Bwana Meles alitumia upeo wake mkubwa kuendeleza Afrika
Salamu za Rais wa Rwanda Paul Kagame
Yoweri Museven akimkaribisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania
Rais Kikwete akielekea kuweka shada la maua
Ilikua ni huzuni kuu si Ethiopia tu bali Africa kwa ujumla.
Utitiri wa mishumaa iliwashwa! kwa heshima.
umati ulishuhudia! |
No comments:
Post a Comment