Tuesday, October 2, 2012

BUSU HUONGEZA AFYA YA MWILI! NDIYO!

                               

                   Kiss with red lips

HIZI NI FACTS JUU YA BUSU  NA NAMNA YA KUBUSU !
Kwa kawaida huwa tunatumia misuli miwili tu ya uso tunapotoa busu kwa rafiki ama mzazi, lakini linapokuja suala la kumbusu mpenzi ama mume basi huwa tunatumia misuli yote ya uso kumbusu umpendaye nah ii husaidia kuunguza calories nyingi zaidi wakati wa busu kwa mpenzi!


Kwa wenzetu waEskimos, waPolynesians na  waMalaysia wao husuguana pua zao badala ya kubusiana!
  kwa wastani! ukifupisha muda ambao unautumia kubusiana maishani mwako basi ni siku 14 sawa na wiki mbili!  kwa mtu
                                 Kissing

wataalamu wa mambo wanaainisha kwamba! huwa unaunguza  calories 26  kwa dakika moja pindi unapo busiana ukiwa ume maanisha!
neno la kisayansi juu ya tendo la kubusiana ni philematology.

salamu ya kawaida uwapo ulaya ni kubusu mashavu yote mawili ila kwa ufaransa italeta maana tofauti

movie  ndefu ya kiss -  ni dakika 3 na sekunde  5  na ilikua kati ya Jane Wyman na  Regis Tommey  iliyopewa jina "You're in the Army Now"  ya mwaka 1941. Je wewe unaweza kubusiana kwa muda huo
 kissing





Uzoefu wa asilimia 50 unaonesha kwamba watu walio wengi huwa wanafurahia busu wakiwa na miaka 13 ama  14.
Wanasayansi wanatanabahisha kwamba kissing husaidia kurekebisha muonekano wa busu husaidia kuing'arisha ngozi, huondoa vipele mwilini   .

Ubongo wa mwanadamu huwa una kitu special neurons ambayo husaidia na kuwezesha midomo kuweza kukutana hata iwe gizani

                             First kiss
Haya sasa kwa kumalizia kwa leo wanaume ambao huwabusu wake zao asubuhi kabla kuondoka nyumbani  inaelezwa kwamba wao huishi miaka 5 zaidi ya umri wao kuliko wale ambao huwa hawafanyi hivyo! Hiyo ni kwa taarifa yako tu!

                 Sunset kiss

                                                  SUNSET KISS
HIZI NI AINA ZA KISS KWA MAJINA
Butterfly Kiss.
Cheek Kiss.
Downward Kiss .
Earlobe Kiss.
Eskimo Kiss
Eye Kiss.
Eyelid Kiss .
Finger Kiss.
Fish Kiss.
Foot Kiss.
Forehead Kiss .
Freeze Kiss (or Melt Kiss).
French Kiss.
From Behind Kiss.
Fruity Kiss.
Hand Kiss.
Hickey Kiss.
Hostage Kiss!
Hot and Cold Kiss.
Ice Kiss .
Mistletoe Kiss.
Mystery Kiss!
Letter Kiss.
Lick Kiss.
Lip Sucking Kiss
Neck Nibble Kiss.
Nip Kiss.
No Lips Kiss.
Reverse Lips Kiss.
Searching The Cavern .
Shocking Kiss .
Shoulder Kiss.
Sip Kiss.
Slow Motion Kiss .
Sniff Kiss.
Sucking Kiss.
Talking Kiss "
Teaser Kiss.
The Buzzing Kiss.
The Whipped Cream Kiss.
Tickle Kiss
Tiger Kiss.
Trickle Kiss.
Tongue Sucking:-)
Quickie Kiss.
Upside-Down Kiss.
Vacuum Kiss.
Wake Up Kiss!
 Kissing

No comments:

Post a Comment