BARACK OBAMA
Ujio wa rais wa MAREKANI BARACK OBAMA nchini unaotarajiwa mapema Julai mwaka huu ambapo
ujio huo utakua na wageni wengi umeanza
kuleta faida kwa baadhi ya watu ambao ni wajanja wachache
kutokana na vitendo
vyao vya kiutapeli wanavyofanya hapa jijini DSM
Matapeli hao wanadaiwa kujitangaza kwamba wao ni madalali ambao
wanakodisha magari kwa ajili ya wageni hao ambao wataambatana na ujio wa BARACK OBAMA kupitia kampuni za kukodisha magari zilizopo
hapa town.
No comments:
Post a Comment