Monday, June 24, 2013

ULIKUA NI WAKATI MGUMU SANA KWA BARNABA




Huu ndio Ujumbe wa Barnaba Boy Classic kwa friends wake wa BBM
"Nasikitika sana san jamani siwez eleza lakin naumia naumia naumia san sana sana. Jamani.. Asubu ya leo. Kwangu imekuwa mbaya mbaya. Sema ndo siwez laumu ila mama angu mzazi alieniza amefariki. Dunia kwa PRESHA. Jamani naumia sana sana... Jamani. natamani aamke aniage kidogo ndo aondoke naumia jamani.


Mama angu MARIA ARBERT. Jamani mama angu naumia.. Uwiiiii jamani na namzika mama angu kesho . Msiba upo kigogo kwa mama angu na baba angu na anazikwa kwenye makabul ya MBURAHATi. Amka mama angu tuongee kidogo. Uwiii. Naumia. Jamani nani wa kula nae jasho langu sasa... Naumia. Kwa maelezo.@Mungu akulaze mahali pema mama angu. Umefanya niimbe na niwe ivi leo. Aupo tena jamani. Nitakupenda milele. Daima."




BARNABA Akipelekwa kuaga

 
                                                     BARNABA Akiaga

                                                         BARNABA  Baada ya kuaga

                         BARNABA  Akisaidiwa kuweka udongo kaburini

BARNABA  baada ya kuweka udongo kaburini alipoteza nguvu kabisa na kuzimia

Baada ya kuzinduka ilibidi akimbizwe Hospitali, hakua na nguvu kabisa.

 Mume wa marehemu akisimika msalaba kaburini



Tunamuomba Mwenyezi Mungu amlaze pema peponi Mama Barnaba.

No comments:

Post a Comment