Kamishna wa Fedha na utawala wa Magereza Gaston Sanga akikagua wahitimu wa mafunzo ya uongozi daraja la kwanza kozi
namba 20 katika sherehe za kufunga mafunzo hayo yaliyo fanyika katika
chuo cha Magereza Kiwira Tukuyu Rungwe Mkoani Mbeya
Kamishna wa Fedha na utawala wa Magereza Gaston Sanga akimtunuku cheo cha Ukoplo Askari B4448 Patric Babara kwa niaba ya wahitimu wa mafunzo ya uongozi daraja la kwanza kozi
namba 20 katika sherehe za kufunga mafunzo hayo yaliyo fanyika katika
chuo cha Magereza Kiwira Tukuyu Rungwe Mkoani Mbeya
Kamishna wa Fedha na utawala wa Magereza Gaston Sanga akimtunuku cheti muhitimu B7348 Patrick Chalemta aliye fanya vizuri masomo ya Darasani katika mafunzo ya uongozi daraja la kwanza kozi
namba 20 Kamishna wa Fedha na utawala wa Magereza Gaston Sanga akimtunuku cheti muhitimu aliye fanya vizuri ...
No comments:
Post a Comment