Wasanii,waandaji,mashabiki na wadau wa muziki wa kizazi
kipya tanzania wameungana kupokea mwili wa marehemu Albert Mangwear pale Air
Port Mchana wa jana aliyeshika msalaba ni rafiki wa karibu wa marehemu Albert Mangwea, aitwaye Mchizi Moxie Wasanii na wadau mbalimbali waburudani wakiwa wametua baada ya kushuhudia mtanzania mwenzetu aliyetutoka ALBERT MANGWEA ukiwa umewasili jana. Professor J na Lamar the producer him self, walikuwepo kuonesha msikamano
No comments:
Post a Comment