Mzee mmoja mwenye hasira kali, Deji Kamoru, amejikuta
akitiwa mbaroni baada ya kumfuma binti yake Aishat chumbani kwake na kuuamua
kumrusha kupitia dirishani ghorofa ya 3, mkasa huo kwa mjibu wa walioshuhudia
ulitokea pale mzee huyo aliporudi nyumbani kwake na kumkuta binti yake mwenye
umri wa miaka 14 akiwa chumbani kwa baba yake akila uroda na boyfriwnd wake,
kwa mjibu wa shuhuda wa tukio hilo mzee
huyo aliamua kumfunga mikono binti yake huyo na kumchapa kisha kumrusha
dirishani... binti huyo alipofika chini alipigiza kichwa na kupoteza fahamu..
mpaka sasa binti hajitambui na yuko ICU katika hospital ya taifa ya nigeria...
mzee huyo ameachiwa kwa dhamana ili aweze kumhudumia mwanae hospital kwani mama
yake waliishatalikiana siku nyingi
No comments:
Post a Comment