Ukiwa mbunifu maishani
katika lolote ufanyalo, kwahakika maisha yako yatakua rahisi sana! Na stress
utakua umezipiga kumbo na wale wote wanaopenda kuiga kila waonalo,utakua
umewaacha kwa mbaaaaaali! Na hawataweza kukukaribia kwani utakua kama kinyonga!
No comments:
Post a Comment