Baada ya life goes on
https://www.youtube.com/watch?v=_szJjwDmkUk iliyokua na Kala Jeremiah,Mo
Plus,Chibo,Ordinally,Ibra Da Hustler,Chaba,Jordan,TDX na G nako ambayo
ilionekana moja kati ya collabo bora kabisa za hiphop nchini, project ya kubwa
kuliko inaendelea mwezi ujao kwa ngoma itakayojulikana kama "Tunaleta Kwere" ndani kukiwa na Coutryboy, P The
MC, Viva Conscious, Tash Bablenye, Leo Mysterio, Fidodido na Bigway, nipo
mbioni pia kukamilisha wimbo wa Beeman akiwa na Jordan,J
Deal,Dullayo,Wyre,Steve RnB na Banana Zorro ila nitatoa taarifa zaidi
soon,nimeona mwaka huu nifanye mambo tofauti kidogo,nawashukuru wote
wanaosupport muziki mzuri,yote yanayokuja ni kwaajili yao - John B (John Blass)
No comments:
Post a Comment