Thursday,
February 27, 2014 Maoni: 0
Tunamtafuta
Bibi Husna ambaye asili ya kimalaysia, aliolewa na Mtanzania Baba yake ambaye
kwa sasa ni marehemu alikuwa ni Bw. Said Abdullah Belwal.
Kwa taarifa Husna ni Muuguzi (Nurse) ila
haifahamiki hospitali gani na mji gani.
Mume wake ni Mwanajeshi na ndoa yao
ilifungwa kijeshi. Tafadhali atapopata tangazo hili au yeyote mwenye
taarifa zake awasiliane na namba hizi
Mob:
+60102987357
Tel:
+60342517603
Kuala
Lumpur, Malaysia
No comments:
Post a Comment