safari ya kwanza Afrika
nchini TZ na Tokea kuanza safari za Turkish Airline nchini,biashara kati yetu
imekuwa kwa 20%.Turkish Air imeongeza safari kutoka 1 hadi 5 kwa wiki
Bernard
Membe @AU imeazimia kuanzisha jeshi la mpito la kujihami
litakaloundwa na nchi za mstari wa mbele wakati tukisubiri kuundwa kwa jeshi
rasmi 2015,Uamuzi wa AU una lengo la kuachana na aibu ya kutegemea msaada wa
majeshi ya nje inapotokea janga kama ilivyotokea Afrika ya Kati na Mali
Bernard Membe .
No comments:
Post a Comment