Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjmin
William Mkapa baada ya kuwasili katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa
wodi ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi
602,080,000/- zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi
Fabruari 22, 2014 katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na
Mzee Benjmin William Mkapa.
Mkurugenzi wa Radio One Bw. Deo Rweyunga akitangaza
mchango wa makampuni ya IPP ya kununua kifaa cha thamani ya dola elfu 50 )
katika hafla ya harambee ya
kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/
zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/- zilipatikana katika harambee
hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi Fabruari 22, 2014 katika hoteli ya Golden
Tulip jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru mwakilishi wa
UNICEF nchini kwa mchango wa dola za kimarekani 100,000 huku Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na
Mzee Benjmin William
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru mwakilishi wa
UNICEF nchini kwa mchango wa dola za kimarekani 100,000 huku Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na
Mzee Benjmin William Mkapa wakishuhudia katika
hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto
pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akimshukuru mwakilishi wa NSSF Bw. Juma Kintu kwa mchango wa mfuko huo
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipokea mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 toka kwa wawakilishi wa
PPF.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akimshukuru Bi Lucy Kimei kwa
kuwasilisha shilingi milioni tatu kama mchango wa familia ya Mkurugenzi
Mtendaji wa CRDB Dkt Charles Kimei.
Rais mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa akimshukuru mwakilishi wa taasisi ya WAMA Bi.
Caroline Mthapula kwa mchango wa taasisi
hiyo.
Rais Mstaafu Mzee Ali
Hassan Mwinyi akimshukuru Bw. Lumbila
Fyataga, mwakilishi wa Ofisi ya Rais, Ikulu,
kwa mchango wa kununua kifaa cha kuwapa joto watoto wachanga (Infant radiation
warmer) katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi
ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili.
No comments:
Post a Comment