Monday, July 29, 2013

SIMON SIMALENGA A.K.A MR DIMELA A.K.A MWANASHERIA APATA JIKO




Kambi ya Wasinii wa Filamu na Maigizo pamoja na Kambi ya Waanahabari Makapela Tanzania imepata pigo kubwa baada ya Mwanachama wake Nguli, Simon Simalenga kuamua kuiaga kambi hiyo na kuingia rasmi katika Kambi Tawala ya Wanandoa baada ya kufunga Ndoa na Bi. Neema Inana. Wawili hao wameamua kuiga kambi hiyo ya Upinzani katika mahusiano katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi Sinza jijini Dar es Salaam na baade katika tafrija kubwa ILIyofanyika wa Julai 27, 2013 katika ukumbi qa Grande Hall uliopo ndani ya Hoteli ya Picolo Beach Mbezi.


 Waooo, umependeza Neema!

Bwana na bi harusi na wapambe wao.
 Ndugu jamaa na marafiki walikuwepo kushuhudia



No comments:

Post a Comment