Kaimu
Balozi wa Tanzania nchini Marekani mama Lily Munanka (katikati) akiwakaribisha
Masanja na Shilole wakiwa pamoja na Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya
sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na tamasha la utamaduni wa kiswahili Marekani,
Baraka Daudi (kushoto) na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV ambaye pia ni
mjumbe wa kamati hiyo ya maandalizi Idd Sandaly Ubalozini hapo Jumanne July 2,
2013 walipokwenda kumtembelea na kufanya kikao kwa kumuelezea Kaimu Balozi
maandalizi ya sherehe hii itakayofanyika Jumamosi July 6, 2013.
Masanja
akitia saini kitabu cha wageni Ubalozini hapo
Shilole
akitia saini kitabu cha wageni Ubalozini hapo.
Kutoka
kushoto ni Baraka Daudi, Kaimu Balozi mama Lily Munanka, Rais wa Jumuiya ya
Watanzania DMV, Bwn. Idd Sandaly, Shilole na Masanja Mkandamizaji wakiongea
jambo walipokua Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington, DC.
Masanja
na Shilole katika picha ya pamoja na Afisa Habari wa Ubalozi wa Tanzania nchini
Marekani, Mindi Kasiga.
Kutoka
kushoto ni Baraka Daudi, Kaimu Balozi mama Lily Munanka, Rais wa Jumuiya ya
Watanzania DMV, Bwn. Idd Sandaly, Shilole na Masanja Mkandamizaji wakiongea
jambo walipokua Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington, DC.
Nyammy katika picha ya pamoja na Shilole na Masanja
Shilole na Masanja katika picha ya pamoja na Mariam
Shilole
na Masanja walipotembelea ofisi za Community Mult Services, Inc zilizopo Silver
Spring, Maryland.
Kutoka
kushoto ni Mr. Watson, Ms Patricia, Jamila, Shira, Mrs Reese, Shilole, Masanja
na Baraka katika picha ya pamoja.
Masanja
na Shilole wakipata Dinner ya mchana kwenye mgahawa wa Kijiji cha Swahili.
Picha
zote kwa hisani ya ya Japhet Lukaza
No comments:
Post a Comment