Bi
harusi Asma Makau alifunga ndoa na bwana Jahhu KESSY huko tanga mwezi uliopita
JUNE
bI HARUSI KATIKA TABASAMU
Bi harusi alimeremetaje? maaashallah, hongera Asma, aaagh naamini kungu imehusika hapo! maan jicho mdondo! hongera bwa Jahhu.umepata mke
Harusi ilinogaje?
Hapa ni siku za awali tulipoingia mjengoni mimi na Asma.
Pamoja tuki show love those days
KILA LAKHERI MAMA MRS ASMAH JAHHU KESSY!
No comments:
Post a Comment