jinsi kijana alivyoungua vibaya
Mtoto naye uso kama unavyouona.
Mtoto Shabani P. Shaban wa
darasa la tatu alikutana na janga hili baada ya kwenda kwa fundi kuchukua nguo
zake za shule ambapo ni eneo jirani na mlipuko huo ulipotokea. Mh Mbunge wa
Dodoma Mjini David Mallole ameahidi kumlipia ada yake ya shule.
Kijana
akitoa maelezo ya namna alivyoungua.
Msaada
walau.
Mbunge
wa Dodoma mjini Mh Dr David Mallole, alipoenda kuwatembelea wahanga wa mlipuko
wa Petrol katika hospital ya mkoa wa Dodoma,General Hospital na kutoa pole kwa
wagonjwa waliopatwa na janga hilo kwa kuwapatia pole pamoja na msaada wa pesa
ya dawa kwa kila mmoja
Chanzo:Bossngasa blog
No comments:
Post a Comment