HII NI KUMBUKUMBU TU! KWAMBA NA
MIMI NILIWAHI KUA JAJI WA BIBI BOMBA 2013, INGAWA ILINIPASA KUA MPOLE ZAIDI YA
HUA, KWASABABU ZILIZOKUA NJE YA UWEZO WANGU. BABUU WA KITAA KUSHOTO,MIMI,BEN KINYAIYA NA GEA HABIBU HAPA NI KABLA ZAMARADI MKETEMA HAJAWASILI.ASANTE.
No comments:
Post a Comment