Friday, July 19, 2013

WAZIRI WA UCHUKUZI AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI ZA ALHAYAT NA NEMBRAS INVETSMENTS


Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia), akifafanua jambo kwa Mweyekiti wa Kampuni  ya Alhayat Investment na Nembras Investment ya nchini Oman, Shekhe Salim Al-Harthy, wakati walipomtebelea ofisini kwake leo mchana. Kampuni ya Alhayat investment ni kampuni ambayo imeonyesha nia ya kuwekeza kwenye Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).
Mwenyekiti wa Kampuni ya Alhayat investment na Nembras Investment ya nchini Oman, Shekhe Salim Al-Harthy akifafanua jambo kwa Waziri wa Uchukuzi,Dkt. Harrison Mwakyembe(kulia),wakati mwenyekti huyo alipomtembelea ofisni kwake .

No comments:

Post a Comment