Miss
Tanzania 2012, Brigitte Alfred (kulia) akipokea hundi yenye thamani ya shilingi
Milioni 4.1 kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Susan Omari jijini Dar es Salaam jana. Fedha
hizo ni kwaajili ya ujenzi wa Bweni la wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi
(Albino) linalojengwa katika shule ya Msingi Buhangija mkoani Shinyanga. (Picha
na Kamati ya Miss Tanzania).
No comments:
Post a Comment