Thursday, July 25, 2013

MAJANGA SPAIN



Mashuhuda wanadai treni ilikua inakwenda kwa kasi isyoelezeka kabla ya kupinda na kuingia chini ya daraja.
Ikaparangana namna hii
Kwa wenzetu huduma ni haraka sana!
Kuna walobaki? muhimu kuangalia!
Kazi ya uokozi wakati mwingine yaweza kukuhatarishia maisha lakini kazi ni kazi!

Takribani Watu sitini  wamekufa katika ajali  ya treni la kusafirisha abiria  baada ya treni hiyo kutoka nje ya reli yake  katika jimbo la GALICIAN huko nchini HISPANIA
Mabehewa 13 ya treni yalianguka wakati treni hiyo ilipokuwa ikitoka MADRID kwenda FERROL
Lakini Afisa wa serikali ALBERTO NUNEZ amethibitisha kwa ajli hiyo kutokea pamoja na vifo lakini amedai kuwa ni mapema mno kuzungumzia chanzo cha ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment