Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifungua pazia kuzindua rasmi jengo la Mahakama Kuu
Utepe ukikatwa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe akisaidiwa na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakifungua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba .
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa baada ya kufungua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba .
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa baada ya kufungua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda .
Picha ya pamoja na wafanyakazi wa mahakama hiyo.
No comments:
Post a Comment