Sunday, July 7, 2013

NIMEIPENDA HII CHUKUA




nilikua nakatiza katika barabara ya sam nujoma leo asubuhi nikamwona dada malaika, nikasimama kwa mbelee nikamsimamisha, naye akakubali nikongea naye, ni mcheshi sana.


Ukiwa na nia kila kitu kinawezekana! Dada Malaika ameamua kumiliki usafiri wa saizi yake na huutumia yeye na familia yake kokote watakako na kurejea nyumbani, mwanzo mzuri sitashangaa hata kidogo kumkuta na gari siku moja! BIG UP MALAIKA, KEEP IT UP, MUNGU NA AKUPE HAJA YA MOYO WAKO.

Malaika muda wote amejaa tabasamu , kwahakika ameibariki Jumaapili yangu kinomaa!

Malaika akiwa amempakia rafikiye wakielekea katika mishemishe za leo, mapemaa asubuhi!


No comments:

Post a Comment