Monday, July 29, 2013

RAIS KIKWETE AKIWA WILAYANI KARAGWE




Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya Kyerwa

 Kua sehemu ya kumbukumbu muhimu ni muhimu

Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete baada ya kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu
 Rahaje? live na mheshimiwaaa,Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete baada ya kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu
woyeee,Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete aliposimama kwa muda kuwasslimia wilayani Karagwe akielekea Rusumo kuzindua kivuko cha Ruvuvu
Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete aliposimama kwa muda kuwasslimia wilayani Karagwe akielekea Rusumo kuzindua kivuko cha Ruvuvu .

No comments:

Post a Comment