Monday, July 8, 2013

MPAMBANO WA MASUMBWI KATI YA WOLPER VS MDEE, NA AUNT VS BULAYA




Wolper akielekea ulingoni kwa mbwembwe.


Mh. Mdee akielekea ulingoni huku akisindikizwa na Mh. Nassari nyumba yake


Mbunge wa jimbo la Kawe Mh. Halima Mdee kushoto akipambana na Bongo Movie Star Jacqueline Wolper katika mchezo wa Tamasha la Matumaini uliofanyika uwanja wa Taifa Dar leo. Matokeo ya mchezo huu yalikua ni sare.

Mpambano mwingine ulikuwa ni kati ya Mh. Ester Bulaya (kulia) Mbunge wa Viti Maalum CCM Mara na Bongo Movie Star Aunt Ezekiel (kushoto). Matokeo yalikua sare

Matokeo yakitangazwa, ambayo yalikua ni sare

Aunt akiandaliwa kabla ya mpambano kuanza


Matokeo yakitangazwa, ambapo yalikua ni sare.


No comments:

Post a Comment