Ni kama vile Rais Kikwete
anaomba apasiwe mpira ili aoneshe ujuzi wake. Hapa Rais Obama akionyesha uwezo
wa kumiliki mpira kwa kupiga kichwa bila kutua chini wakati alipotembelea
mitambo ya kuvua umeme Ubungo jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuondoka
nchini.
Pass kwako kaka1 akautuliza mpira na kuanza kuuchezesha atakavyo.
Obama na mpira,kama Pele!
Hatariii, marais wote wako fit upande wa michezo! Hapana chezea wao wewe
No comments:
Post a Comment