Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama wa Marekani Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Slaa
muda mfupi kabla ya kiongozi huyo wa taifa la Marekani kuondoka nchini baada ya
kumaliza ziara ya kikazi ya siku mbili.
Picha
na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment