Umati
Rais
Kikwete alipokua akijiandaa kupuliza filimbi kuashiria kuanza kwa mchezo wa
Tamasha la Matumaini kati ya Wabunge washabiki wa Yanga dhidi ya wale wa
Simba.Mchezo huo ulifanyika ktk uwanja wa Taifa Dar . Wabunge wa Yanga
waliibuka washindi baada ya kuwafunga Simba kwa penati 4-3 baada ya sare ya 0-0
katika muda wa kawaida.
DAR-ES-SALAAM.
JK
akikagua timu ya Wabunge wa Yanga
JK akiweka sahihi kwenye mpira uliotumika ktk mchezo huo.
Yanga
wakifurahia ushindi wao
Picha na GPL
No comments:
Post a Comment