Mstahiki meya wa Jiji la
Mwanza Mh.Stanslaus Mabula pamoja na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa
ya Ilala Mh.Jerry Silaa wakipata futari jioni ya jana pamoja na wajumbe wa
kamati ya kudumu ya uchumi na huduma za jamii wa Manispaa ya Ilala ndani ya Jiji
la Mwanza.
Mstahiki Meya wa Jiji la
Mwanza Mh.Stanslaus Mabula (wa tatu kulia) pamoja na Mstahiki Meya wa
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Mh.Jerry Silaa (wa pili kushoto) wakibadiisha
mawazo na wajumbe wa kamati ya kudumu ya uchumi na huduma za jamii wa Manispaa
ya Ilala ndani ya Jiji la Mwanza wakati wa futari ya pamoja chungu cha kwanza
katika mwezi huu mtukufu wa Ramadan.
Wakinamama nao wakijinafasi upande wao.
Picha na Zainul A. Mzige,
No comments:
Post a Comment