KAMPALA
Tukisalia nchini UGANDA idadi ya Watu waliopoteza maisha kwenye ajali
ya moto uliozuka baada ya tanki la mafuta kushika moto imefikia watu 35 huku
miili mingine ikishindwa kutambulika kutokana na miili yao kuharibika vibaya.
Kwa
mujibu wa idhaa ya Kiswahili ya DW inasema kuwa waliopoteza Maisha kwenye ajali
hiyo na wale ambao wapo kwenye hali mbaya kwa sasa wapo kwenye Hospitali kuu ya
MLAGO huku idadi ya waliojeruhiwa
ikitegemewa kupunguwa kulingana na matibabu wanayopata.
Kijana
ABDUL ni mingoni mwa mashuhuda wa
ajali hiyo anasema kuwa Polisi walizembea kwenye kutenda kazi katika ajali hiyo
nlicha ya kuwahi kupewa taarifa.
No comments:
Post a Comment