Emmy Kosgei
Emmy Kosgei akiwa na washkaji zake kutoka kushoto Becky Muikia,Kanze Dena,Emmy na Kambua walikua pamoja mwanzo mwisho, Kambua yeye na wenziwe walitia timu hadi Nigeria kwa harudi 3 kubwa na kua mashuhuda wakubwa!
Bi harusi Emmy akiwa kajipura hasa!
Mwimbaji huyo maarufu wa nyimbo za injili nchini Kenya Emmy Kosgei
ndoa yake imekua gumzo nchini humo na hata Africa mashariki kwa wanaofuatilia
nyimbo za injili za jirani kama mimi, Emmy ameolewa na mwanamume wa ki Nigerian
ambaye ni mchungaji mkubwa nchini mwake Anslem
Madabuko ambaye amemzidi kwa zaidi ya miaka 30 na aeza kua babake, lakini waambiwa
mapenzi ni upofu, achilia mbali hilo, ndoa hiyoimekua ghali kuliko zote za hivi
karibuni kwani bilioni moja imeteketea kufanikisha ndoa hiyo, si mchezo, hapana
chezeda Anselm wewe.
Siku ya harusi ya kimila maharusi ndivyo walivyovaa!Mahali alipolia kiapo Emmy na Anselm Madubuko
Wageni waliandaliawa hivi!
Mmmoja wa wageni wanawake, aliriripukaje?
Emmy katika muonekano tofauti
Wageni wengine
Mume wa Emmy Anselm Madubuko.
Katika mtandao wa twitter,umoja wa wakenya waliomo humo wana
jiita KoT (Kenyans on Twitter) walimchamba vilivyo dada yao Emmy kwa kuamua
kuolewa na mtu ambaye aeza kua daddy yake!, lakini hilo halikumzuia Emmy kuijongea altare ya bwana na kufunga ndoa,na kasha
kufuatiwa na sherehe 3 za ndoa, na mfululilzo huo wa sherehe umekua kama
komesha kwa haters wake! na kama hiyo
haitoshi, mtoto alipewa zawadi ya BMW X6
na huo; ukawa ndo msumari wa mwisho
kwenye jeneza, hapana chezea jeuri ya pesa wewe.
Anselm na Emmy siku ya harusi yao kanisani;
Wakati hayo yakisemwa, wenyewe wa mahabani haifai
Mwanamke wa kibantu hasa! anavutia maashallah
Akiwa haamini macho yake, baada ya kuiona zawadi ya harusi alopewa na mumewe.
Mchuma mpyaaaa
Mchungaji mwenyewe ndiye alimsurprise mkewe
Baada ya yoote! mapumziko yalifuata.
Bwa harusi chumbani
Maharusi wakiwa honeymoon kwa raha zao!
No comments:
Post a Comment