Friday, September 20, 2013

MBUZI GHALI KULIKO WENGINE





Mfanya biashara mwenye asili ya  Saudi Arabia amevunja rekodi ya kununua mnyama mbuzi kwa gharama ya dola za kimarekani $3.46 kutoka kwa mfanyabiashara mwenziwe baada ya kuvutiwa na mbuzi huyo!

Kikubwa ni mbegu ya mbezi huyo kua ni adimu sana kuonekana na kikubwa zaidi, jinsi mbuzi huyo alivyo rembwa na maulana ana vutia mno!

No comments:

Post a Comment