Friday, September 27, 2013

MGENI NJOO




WAZIRI WA UCHUKUZI ASAINI MKATABA WA HUDUMA ZA USAFIRI WA ANGA KATI YA TANZANIA NA SINGAPORE KATIKA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA USAFIRI WA ANGA (INTERNATIONAL CIVIL ORGANISATION-ICAO), JIJINI MONTREAL, CANADA.
Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe (kushoto) na Waziri wa Uchukuzi wa Singapore, Mhe. Lui Tuck Yew (kulia), wakisaini Mkataba wa Huduma za Usafiri wa Anga kati ya Tanzania na Singapore kwenye ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (International Civil Organization – ICAO), jijini Montreal, Canada mwanzoni mwa wiki.
        Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe (kushoto) na Waziri wa Uchukuzi wa Singapore, Mhe. Lui Tuck Yew (kulia), wakibalishana  Mkataba wa Huduma za Usafiri wa Anga kati ya Tanzania na Singapore waliousaini mwanzoni mwa wiki jijini Montreal, Canada.

No comments:

Post a Comment