Gerald Hando a.k.a
Nyani Mzee akifanya mazungumzo na Elizabethi Michael a.k.a Lulu katika studio
za Clouds Fm leo asubuhi wakati wakijipanga kuelekea Mwanza asubuhi hii.Lulu ameahidi kutoa madini yatakayo wahamasisha vijana wa mji wa miamba Mwanza! so kaeni mkao wa kula.
Lulu na Regina Mwalekwa
waki show love.
Phillip Mwihava
Producer wa POWER BREAKFAST TEAM ,Na Presenter wa Power Breakfast on Satoo
lakini pia ni baba Justin a.k.a baba bieber akiwa na msanii anayemkubali.
Moja ya view za mjengoni.
Moja ya view za mjengoni.
No comments:
Post a Comment