Thursday, September 19, 2013

Willis Raburu amtaja shahidi wa icc





Mtangazaji wa kituo cha television ya Citizen Willis Raburu amekua akipokea mrejesho tangia alipomtaja ama viashiria vya namna alivyo shuhuda alokua akitoa ushuhuda katika mahakama ya  ICC huko the Hague based  jana.

Willis alikinzwa kwa kitendo hicho  na kusema kua kitendo chake kinaweza kuhatarisha usalama wake na familia yake kwa ujumla

Na William Raburu mwenye akatoa tamko hili ! I advise us all to please check our facts before we jump into a discusion I did NOT send out that tweetWillis Raburu (@WillisRaburu) September 17, 2013

No comments:

Post a Comment