Monday, September 16, 2013

WOKOVU UPO KWA KILA AAMINIYE




Aliku akijiita aunt Asu,na hizi ni zama alipokua katika shughuli zake.


Biashara imani. Ilimbidi awavutie wateja wake kwa kupiga deki na less wig!
Hapa alipokua kanisani, na anashangiliwa kwa kuacha njia yake mbaya na kumrejea Mungu wake.
 Umma wa waumini ukitangaziwa kuokoka kwa aliyekua aunt Asu, na mwanzoni alitangaza kuacha ushoga kwenye kipindi cha mitikisiko ya pwani cha Dida wa Mchopanga cha Times Fm, na hii ni kwa hisani kubwa ya Dida.

No comments:

Post a Comment