Friday, September 20, 2013

HATA KAMA LAKINI WENYEWE KWA WENYEWE? MH


WIKI ILIYOPITA WANAUME WAWILI AMBAO NI WANAJESHI WASTAAFU, WALIOANA KATIKA ENO LAO LA MAKAAZI MAHALI AMBAPO NDOA HIYO KATI YA WATU WA JINSI MOJA KUOANA HIYO NI YA KWANZA
 WAPENZI HAO MMOJA  ALIYEPIGANA VITA VIKUU VYA KWANZA VYA DUNIA ANA UMRI WA MIAKA 95 NA JINA LAKE NI - John Banvard,NA AMEMUOA MPENZI WAKE WA SIKU NYINGI MWENYE UMRI WA MIAKA  , 67 AITWAYE  GERARD NADEAU,AMBAYE ALITUMIKA WAKATI HUO  KATIKA NCHI YA  VIETNAM KAMA MWANAJESHI. WAWILI HAO WAMEDUMU PAMOJA MAPENZINI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 20.

NA MUDA WOTE HUO WALOISHI PAMOJA KWA MIAKA 20, WALIKUA WAKIVUTA SUBRA  , WAKISUBIRI MAAMUZI YA MAHAKAMA KUU KUWARUHUSU WAFUNGE NDOA YAO KISHERIA, NDOA YAO ILIFUNGWA WIKI ILIYOPITA SIKU YA JUMAMOSI, MAENEO YA NYUMBANI KWAO NA WALIOSHIRIKI WALIKUA NI MARAFIKI ZAO WACHACHE, HILO HALIKUWASUMBUA KWANI MARA BAADA YA KUFUNGA NDOA YAO HIYO, WAKASHINDILIA BUSU LA HUBA BAADA YA KIAPO NA KUKUBALIANA, NA JAMII ILIYOBAKI ILIKATAA KUHUDHURIA NDOA HIYO KWAKUA HAWAIUNGI MKONO.

No comments:

Post a Comment