near Kigamboni
Naangalia umati huu wote hamna anayekaguliwa wala nini, kwa
wastanibPantoni.linachukua magari 60, Abiria 2000, Pikipiki/Baiskeli 100.
Polisi feri wako busy kukamata Pikipiki. Mungu tulinde #Remember_Westgate #WeAreOne
—
Mawazo kuntu! Si unaona?
Au?
No comments:
Post a Comment