Kumbuka kwamba Dilish alizoa zawadi ya dola za kimarekani 300,OO0 baada ya kua mshindi wa Big Brother The Chase lakini pia alipata bahati ya kukutana na babake alopoteana naye kwa miaka mingi mwenye asili ya Kenya.baba ambaye hakuwahi kuonana naye ni mpaka aliporejea nyumbani Kenya kwa kua yeye ni Askari. Sherehe hiyo ilinogea hapo baada ya kuungana na baba yake.
Baba yake pia alimpa zawadi sio hiyo ya bmw ama nini, bali ni zawadi kutoka Africa ya kibuyu kikubwa kilichorembwa vyema na maana ikiwa ndaniye.
Mshindi wa Big Brother Africa 2013 lililopewa jina la – The Chase , bi Dillish Matthews jana aliadhimisha miaka 23 ya kuzaliwa kwake, na haya yafuatayo ni mambo yalojiri!
Hii ndo zawadi kubwa kuliko zote alizopata mrembo huyo
Dillish akiwa na mdogo wake aitwaye Donavan
Mijizawadi mingine ya Dillish
No comments:
Post a Comment