Hapa wanafunzi waliofuzu darasa la saba, ambao walihitimisha mitihani yao jana walitinga ufukweni kujiachia!walibeba kabisa nguo za nyumbani baadhi yao.Hapa walikua wanajikusanya na kubadilisha nguo zao.
Huyu hakubeba nguo za kubadili, na alibaki kuyatamani maji tu, alikua akizunguuka na begi pamja na kidumu chake cha maji.
Hapa baada ya kubadilisha nguo zao, walijitumbukiza majni
hapa kuna mpambe na wapendanao, ndicho nlichoona
Muda mwingi walikua wakishikana na kukimbizana baaasi
wengine walikua ni hao mwenye t-shirt nyekundu na hofu hawakua nayo
Hawa walikua ni mashuhuda wa kilichokua kinaendelea
Sharo huyu alikua akienda na kurudi,baasi
Wengine walikua ni wanafunzi wa sekondari walikua makundi kwa makundi saa nane mchana sasa sikua na uhakika kua walikua wameshamaliza masomo? na walikua na ziara gani ufukweni?
Binti huyu alikuja na uniform, akabadili na kuvaa hicho kivazi ambacho kilikua cha hasara hasara mno! mbele kulkua wazi mno akawa akikizui zuia, na baadae alimua kuacha kifua wazi zaidi
Viburudisho vilikuwepo
Huyu aliamua kuja na mwa wake kumpa mazoezi!hakua na stori na mtu safi
Mmasai huyu alikua ana hakikisha wanafunzi hawavuki kuja mahali watu wakubwa wamekaa na kuchangamana nao
Huyu alikua kivutio kwa wanafunzi hao
Aliendelea na hamsini zake
Najua ulikua na hamu ya kujua nlikua wapi na pana fananaje
Kiukweli napapenda mandhari yake
Unadhifu wa matakia,na mandhari ya kiafrica iliyopo miye hunmaliza mnoo! unajua ni wapi?
Sehemu ingine inaonekana hivi
Ndiponlipokua jana, na kushuhudia kwa mbaaali wanafunzi hao.
No comments:
Post a Comment