Monday, September 9, 2013

NI MAWAZO? POSHO NDOGO? AU UZEMBE?

Msichana mmoja kutoka kaunti ya bungoma sasa anataka hatua zichukuliwe dhidi ya daktari mmoja kwa kuhatarisha maisha yake. Maureen Khaemba alifika hospitali kuu ya bungoma kujifungua, lakini baada ya upasuaji, daktari alisahau pamba tumboni mwake....hali ambayo imemsababishia maumivu chungu zima.

No comments:

Post a Comment