Ruhila
Adatia-Sood enzi za uhai wake alivyokua
Jeneza lilokua na mwili
wa Adati Ruhila likipelekwa katika makaburi ya Shia mjini Nairobi
Wafanyakazi katika
makaburi ya Shia Imami Ismailia wakipanga maua kwenye kaburi la mwandishi wa
habari wa Kenya Ruhila Adatia-Sood, ambaye aliuawa katika shambulio la kituo
cha maduka makubwa ya Westgate, wakati wa mazishi yake tarehe 26 Septemba huko
Nairobi.
No comments:
Post a Comment