King Mswati
KING MSWATI
Mrembo mwenye umri wa
miaka 18 ambaye anashikilia taji la
urembo nchini swazland, anaandaliwa kua mke wa kati ya 14 ama 15 wa king Mswati wa III, nchi ya mwisho
kwenye jangwa la sahara ambayo bado ina kiongozi wake ni mfalme.
Mke huyo atachaguliwa miongoni mwa hawa,ambao kabla ya kuchaguliwa hucheza ngoma maarufu nchini Swazland iitwayo Umhlanga
mabibi hawa sharti wawe mabikira na ngoma hiyo huchezwa kila mwezi August kila mwaka kwa lengo la kumpata mke mpya wa mfalme
King Mswati
King Mswati
King Mswati
King Mswati
King Mswati
No comments:
Post a Comment