Police wa Meru wakiwa wanamshikilia raia wa New Zealand kwa
kumshuku kujihusisha na biashara haramu ya kusafirisha watoto na biashara ya
ngono.
Mr Baha Ukes, mwenye
umri wa miaka 38,alikamatwa huko Nakumatt
Mall ameneo ya mji wa Meru siku ya Jumanne jioni akiwa na wasichana
wadogo wawili ambao ni ndugu kutoka Samburu!wakati
hayo yakitokea, Mwanamume mwingine mshukiwa wa kusaka wasichana wadogo bado
angali ndani.
Baha anashukiwa
kuwachukua wasichana hao wawili maeneo ya Sere Olipi huko Wamba, Samburu na
kusafiri nao hadi Meru.
Na haikufahamika mara
moja kwamba alikua anadhamira ya kuwapeleka wapi watot hao wawili,lakini Baha alijitetea
kwamba alikua katika harakati za kuhitimisha mipango ya kumuoa mmoja wao.
SUALA LA MAHARI
Mr Ukes aliwaambia
waandishi habari kwamba amekwisha lipia mahari ya ng’ombe nane na Kshs 7,500
kama sehemu ya mahari kwa wazazi wa binti amtakaye
Amejitetea kwamba yuko
nchini Kenya kwa kazi ya upigaji wa picha wa kitabu chake anachotaka
kukichapisha,ndipo akajikuta tu anampenda mmoja wapo wa mabinti hao .Na baadae
akadai kwamba ndugu na wazazi wa binti huyo walikua katika mipango ya mwisho
mwisho ya kupata kibali cha kuwafungisha ndoa
Na hapo Meru
alipokutiwa aliwapeleka mabinti hao for
shopping sawa?,”
Lakini! Passport ya Mr Ukes inaonesha yakwamba amezaliwa Iran na baadaye akabailisha uraia wake na kua raia
wa Zealand.Passport hiyo inaonesha pia amewahi kua katika nchi za Brazil,
Mexico, Turkey, Argentina, Britain, Germany, India, Uruguay na Belgium.
Na amekutwa na camera 2
aina ya Nikon cameras na simu aina ya Vertu
MAHARI YA NG’OMBE NANE
Mabinti hao wawili
ambao hawajui lugha yoyote kati ya hizi
kiswahili ama
Kiingereza walijieleza kua walichukuliwa nyumbani kwao siku ya Jumanne.Na ada
ya kutuondoa nyumbani ni ng’ombe wanane nab ado anadaiwa ng’ombe wengine watatu,alieleza
bibi harusi mwenye umri wa miaka11 alijieleza kupitia mkalimani.
Meru Administration
Police CommanderKamanda wa Polisi k Njue Njagi amesema wanafanyia uchunguzi
bwana Uke juu ya biashara ya watoto na
watu ambao wanaangamiza watoto kujipatia fedha,lakini pia wanazifanyia
uchunguzi kua Ukes anajihusisha na upigaji picha za ngono huko Samburu.HABARI
NDIO HIYO
No comments:
Post a Comment