Jamaa huyu ana asili ya
German na Danish alimuokoa samba huyu
akiwa mdogo baada ya kutengwa na mamake na hakua na maisha marefu, angekufa t
undo jamaa akakutana naye.
Ooooh mapenzi gani
haya? Ila huwa hawatabiriki hawa ujue! oh.
Hata hivyo mshikaji Mr
Legarth anatambua hatari ya kua karibu na Simba na anasema kwamba pindi
unapomkaribia kwa mara ya kwanza mwili wote una kutaarifu kwamba hiki ni kitu
ulichopaswa kukiepuka!
Picha hii ya kuajabia inamuonesha simba huyo
aliyepewa jina la Sirga akiwa na uzito wa - 110lb akimkumbatia mkombozi na
rafikiye Mr Legarth
Valentin Gruener akii enjoy na Sirga
ambaye sasa anauwezo wa kujitafutia chakula.
Naona kama mzito hivi!? du! mi naamini huu ni urafiki wa mashaka.
Marafiki hawa wawili Valentin
Gruener na Mikkel Legarth walikua hawako
tayari kumuona Sirga akifa bila msaada
wowote hii ipo katika mbuga ya wanyama ya nchini Botswana, kusini mwa bara
kubwa, Africa.
No comments:
Post a Comment