NI
FANIALI ZA EBSS 2013
Katika kuelekea Fainali ya
EBSS 2013 kesho kutakuwa na Press Conference pale katika ufukwe wa ESCAPE ONE
Saa Tano Asubuhi, ambapo utawaona washiriki wote walioingia Fainali kwa pamoja
kabla ya siku yenyewe ya Jumamosi tarehe 30 ambapo wote kwa pamoja tutashuhudia
Yule Mshindi wa Milioni 50.
Waliofanikiwa kuingia
fainali ni Amina Chibaba (MBEYA), Melisa John (DSM), Elizabeth Mwakijambile
(DSM), Emannuel Msuya (MWANZA) na Maina Thadei (DSM)
Pia siku ya Fainali
kutakuwa na Burudani kutoka kwa Snura, Barnaba, Young Killer, Shaa, Walter
Chilambo, Peter Msechu na Makomandoo
Kiingilio katika Fainali
hizo kitakuwa : VIP TSH 50,000/= KAWAIDA : TSH 20,000/=
Tiketi za siku ya Fainali
zinapatikana sehemu zifuatazo :
- Shear illusion
- Biggy Respect (Kariakoo)
- Steers Mjini
- Zizzoue Fashion
(Victoria na Sinza)
- Photo Point (Mayfair)
- Robby One Fashion
(Kinondoni)
- Best Bite
- Engen Mbezi
- Escape One (Mikocheni)
- Benchmark Office Mikocheni
- American Nails
(Kinondoni
No comments:
Post a Comment