Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba
yake wakati wa hafl ya kutoa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika
kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee
Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akimkabidhi Tuzo,
Mwnyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo
kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto,
iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam. Katikati ni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mery Nagu.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akimkabidhi Tuzo,Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mery Nagu,
aliyepokea kwa niaba ya Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Ghari Bilal, akimkabidhi Tuzo,
Dkt. Faraji Mkwakwacha.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akimkabidhi Tuzo,
Nesi Yasinta Baruti, kutoka Mkoa wa Katavi.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akimkabidhi Tuzo,
Elia Elikana, kutoka mkoa wa Singida ambaye ni mwanaume aliyepata tuzo hiyo kwa
kumsindikiza mkewe Kliniki mara nyingi, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa
Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto.
Picha ya pamoja na
baadhi ya viongozi wa Taasisi ya Madaktari wahitimu Tanzania na waliopata Tuzo.
Picha ya pamoja na
wanamuziki wa Sikinde, waliokuwa wakitoa burudani katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment